Luke 20:41-44

41 a bKisha Isa akawaambia, “Imekuwaje basi wao husema Al-Masihi
Al-Masihi maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
ni Mwana wa Daudi?
42 dDaudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume,

43 ehadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako.” ’

44Ikiwa Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ basi atakuwaje mwanawe?”

Isa Awashutumu Walimu Wa Sheria

(Mathayo 23:1-36; Marko 12:38-40)

Copyright information for SwhKC